Thursday 1 September 2016

Form Five Second Selection 2016


 Waliochaguliwa kidato cha tano awamu ya pili 2016, 

Form Five Second Selection 2016 - TAMISEMI - New 
Update



TANGAZO MUHIMU


MUDA WA KURIPOTI (REPORTING TIME) KWA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO AWAMU YA PILI

Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano awamu ya pili mwaka 2016 wanatakiwa kuripoti katika shule walizopangwa kwa wakati. Endapo mwanafunzi atachelewa kuripoti kwa zaidi ya siku 14 kuanzia tarehe ya tangazo hili (31-AUG-2016.) atakuwa amepoteza nafasi hii.

No comments:

Post a Comment